Albamu na Hadithi

Kumbukumbu binafsi zinaweza kuongezwa kwenye albamu na hadithi. Hii ni njia nzuri ya kuandaa kumbukumbu kuhusu mtu au mada. Pia inafanya iwe rahisi kushiriki kumbukumbu muhimu pamoja na familia.

Albamu

Hadithi, picha, nyaraka na faili za sauti vinaweza kuongezwa kwenye albamu. Vinaweza kuwekwa pamoja kama mkusanyiko au kama onyesho la slaidi. Ona jinsi inavyofanya kazi.

Hadithi

Picha pekee zinaweza kuongezwa kwenye hadithi. Hadithi ni njia nzuri ya kupata habari muhimu za familia na picha zinazoonyesha maelezo.

Zaidi

Je, ninawezaje kufanya onyesho la slaidi ya picha na nyaraka za mababu?
Je, ninawezaje kuongeza kumbukumbu kwenye albamu?
Je, ninawezaje kuongeza hadithi kwenye kumbukumbu?
Je, ninawezaje kuongeza picha kwenye hadithi niliyoitengeneza?

moduleTitle