Maelezo ya kumbukumbu ni nini?

Kuongeza maelezo muhimu kama kichwa cha habari na maelezo kwenye picha zako, nyaraka au hadithi kunaweza kukusaidia upange na uhifadhi taarifa muhimu.

Mapendekezo

  • Weka vichwa vya habari viwe vifupi lakini vinavyohusika. Jumuisha maelezo ya ziada katika sehemu ya ufafanuzi.
  • Usiwaorodheshe watu wote katika kichwa cha habari au ufafanuzi. Badala yake tengeneza tagi ya mtu.
  • Jumuisha maneno muhimu ambayo yanaweza kupatikana katika utafutaji katika kichwa cha habari na maelezo.
  • Jumuisha tarehe na mahali ikiwa vinajulikana.

Zaidi

Ninawezaje kuongeza au kuhariri kichwa cha habari cha picha, hadithi, nyaraka au faili la sauti?
Je, ninawezaje kutagi kumbukumbu za mababu au jamaa zangu kwenye Mti wa Familia?

moduleTitle