Nani anaweza kuona kumbukumbu hii?

Kumbukumbu kwenye FamilySearch zinaweza kuwa na moja ya mipangilio ifuatayo ya kuonekana:

Umma—Inaonekana kwa watumiaji wote wa FamiliySearch na mtu yeyote aliye na kiungo.

Binafsi—Inaonekana tu kwa mtu aliyepakia au kuunda Kumbukumbu.

Ufikiaji wenye Ukomo—Inaonekana tu kwa mtu aliyepakia au kuunda Kumbukumbu na vikundi vya familia ambavyo
mtu anachagua. Chaguo hili linapatikana tu wakati wewe unapokuwa sehemu ya kikundi.

Zaidi

Je, ninawezaje kutagi utambulisho wa kumbukumbu za mababu au jamaa zangu?
Je, ninawezaje kuhariri au kufuta tagi za mtu katika Kumbukumbu?

moduleTitle