Tagi za Mada

Unaweza kuongeza tagi za mada ili kufafanua picha, hadithi na faili za sauti kwenye FamilySearch. Mifano ni: maelezo ya mapishi, shujaa wa vita, ubatizo. Tagi hufanya kumbukumbu zipatikane kwa urahisi katika utafutaji.

Vidokezo vya Tagi za Mada

  • Unaweza kuongeza tagi ile ile kwenye kumbukumbu nyingi kwa mara moja.
  • Mtumiaji yeyote anaweza kuongeza au kuondoa tagi za mada kutoka kwenye kumbukumbu.
  • Tagi za mada haziwezi kuwa na emoji au herufi zifuatazo: ~!@#$%&*(){}[]<>?/|\:;_+=.
  • Iwapo utaongeza jina kama tagi ya mada, mfumo hauambatanishi kumbukumbu hiyo kwa mtu aliye katika Mti wa Familia. Badala yake tumia tagi za mtu.

Zaidi

Je, ninawezaje kuongeza au kuondoa tagi za mada kwenye Kumbukumbu?

moduleTitle